*NJIA MBILI ZA UMILELE*
15 Angalia, nimekuwekea leo mbele yako *uzima na mema, na mauti na mabaya;*
16 kwa hivi nikuagizavyo leo kumpenda BWANA, Mungu wako, *kuenenda katika njia zake, na kushika maagizo yake, na amri zake, na hukumu zake, upate kuwa hai na kuongezeka;* BWANA, Mungu wako, apate kukubarikia katika nchi uingiayo kuimiliki.
17 Lakini moyo wako ukikengeuka, usipotaka kusikiza, lakini ukavutwa kando kwenda kuabudu miungu mingine, na kuitumikia;
*NJIA MBILI ZA UMILELE*
🔨Njia ya Mauti.
🔨Njia ya Uzima.
🌽Mauti ni pale unaposhindwa kuyafanya mapenzi ya MUNGU,kukengeuka, kutoshika maagizo,Hukumu na Sheria za Bwana.
*Chagua Njia ya Uzima LEO Upate kuokoka.*
📚ES MEJA.
+255757215614.
*NJIA MBILI ZA UMILELE*
*Chagua Njia ya Uzima LEO Upate kuokoka.*
+255757215614.
No comments:
Post a Comment