*KUNA FAIDA KUKAA KATIKA BWANA*
*Mathayo 5*
3 Heri walio maskini wa roho;Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
4 Heri wenye huzuni;Maana hao watafarijika.
🔨 Hata kama Unateseka leo lakini kama kuteseka kwako Bado hujamwacha Mungu tambua kwamba BWANA atakufanyia njia ya kutokea.
🔨Usiyumbishwe na Majaribu, Uache mwili ukate tamaa lakini Roho usikubali Ikate tamaa.
🔨 Majaribu haya ya duniani ni ya kitambo tu, kuna maisha baada ya kujaribiwa, Usikumbwe na mafuriko ya majaribu.
🔨Majaribu ni kama movie ni ya kipindi tu, tamani kuwa starring katika Jaribu lako Uibuke mshindi.
Hakuna Jaribu la kumshinda BWANA.
📚ES MEJA
+255757215614.
Hakuna Jaribu la kumshinda BWANA.
+255757215614.
No comments:
Post a Comment