*Ghairini Ghairini Mkaishi*
*E zekieli 33*
11 Waambie, Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. *Ghairini, ghairini,* mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?
*Hapa najifunza kwamba.*
👉🏼 BWANA usikia Uchungu mwanadamu aliyemuumba kutenda dhambi.
👉🏼 Ukifa dhambi hayo ni mapenzi yako wala siyo ya Mungu.
👉🏼 MUNGU WETU ni Mtakatifu.
📚
📚ES MEJA
+255757215614.
+255757215614.
No comments:
Post a Comment