Pages

Tuesday, July 11, 2017

BREAKFAST


🌽BREAKFAST🍕🍞
*Kwa Nini Tunahubiri Injili?*
*Yohana 3*
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
👉🏼🖐🏼SOMA KWANZA HILO ANDIKO HAPO JUU NO KUPE SABABA.
*Ukiulizwa Kwa nini Unaenda kanisani au Unajishughulisha na Mambo ya Mungu mwambie.*.
1⃣ Kwa maana Jinsi hii MUNGU alimtoa Yesu kwa Ajili yangu, nisipotee kwa hiyo lazima kumtangaza YESU.
2⃣ MUNGU aliupenda Ulimwengu na Mimi nikiwemo. Lazima nieleze watu wajue kwamba Mungu anaoupendo.
3⃣ Mungu alikusudia waaminio wasijewakapotea kwa hiyo lazima nishawishi watu WAPATE kuamini YESU.
4⃣ Yesu ameleta Umilele kwa waaminio, Baraka,Uweza,Heshima Vyote hivi ni Vya milele.
*NIFURAHA MBINGUNI MWENYE DHAMBI MMOJA AKIAMINI NA KUTUBU.*
📚ES MEJA
+255757215614.

No comments:

Post a Comment