🍞
🍕BREAKFAST
☕
🌽 *USINYAMAZE - HAJA ZAKO ZIJULIKANE KWA MUNGU.*
*ESTA 4*
1 Basi Mordeikai alipojua mambo yote yaliyofanyika, alizirarua nguo
zake, akajivika gunia pamoja na majivu, akatoka hata kufika katikati ya
mji, akalia kwa sauti kuu ya uchungu.
🌽
👉🏼SHETANI ametengeneza mazingira kiasi KWAMBA tunaona kwamba maombi yetu hayawezi jibiwa.
🌽
👉🏼 SHETANI anafurahi kuona unahuzunika mda wote, huzuni huondoa Roho ya maombi.
🌽
👉🏼 Modekai alikuwa gate keeper lakini aliomba, hakuangalia position alimwangalia Anayemwomba. *Haja zake zilijulikana kwa Mungu.*
🌽
👉🏼 Ukitaka Kujibiwa usijifanye mstarabu wewe omba,funga, Usiangalie Mtu mwangalie BWANA.
🔨Je Mahitaji yako Mungu anayajua?. Mara ya Mwisho ni lini umemkumbusha Bwana haja zako?.
#HataSasaBwanaAtafanya.
📚ES MEJA
+255757215614.
No comments:
Post a Comment