Pages

Tuesday, July 11, 2017

BREAKFAST


🌽🍕BREAKFAST🍞
*Dhambi ni Nini?*
Kutoka 34.
6 BWANA akapita mbele yake, akatangaza, BWANA, BWANA, Mungu mwingi wa huruma, mwenye fadhili, si mwepesi wa hasira, mwingi wa rehema na kweli;
7 mwenye kuwaonea huruma watu elfu elfu, mwenye kusamehe uovu na makosa na dhambi; wala si mwenye kumhesabia mtu mwovu kuwa hana hatia kamwe; mwenye kuwapatiliza watoto uovu wa baba zao, na wana wa wana wao pia, hata kizazi cha tatu na cha nne.
📚📚 Dhambi ni Uovu,Dhambi ni Uasi, Upotovu na Ukengeufu.
- Bwana ni MWENYE huruma hupendi Mtu kupotea.
- Tenda haki hokoa vizazi na vizazi.
📚📚 Tusitende dhambi ni mbaya. Kemea dhambi kwa kutenda haki.
📚ES MEJA
+255757215614.

No comments:

Post a Comment