Pages

Tuesday, July 11, 2017

BREAKFAST

🍞🍕BREAKFAST🌽
*LIZIKA ULICHONACHO*
*Mhubiri 4:6.*
Heri konzi moja pamoja na utulivu, kuliko konzi mbili pamoja na taabu.
👉🏼Kutolizika kunasababisha wetu kutoa Rushwa, Kuuza utu wao, Kupotosha haki.
👉🏼Lizika na hicho Kidogo ambacho ni halali yako, Bwana atakiongeza. He is a Multiplier.
👉🏼KUWA na Moyo wa Shikrani siku zote. Wasiolizika huwa hawashukuru.
*Ukiwa MWAMINIFU kwa Kidogo utawekwa kwa kikubwa pia*
##LiveUsLight
📚ES MEJA

No comments:

Post a Comment