Pages

Tuesday, July 11, 2017

BREAKFAST


🌽BREAKFAST🍕🍞
*KUMFUATA YESU NI UJASILI*
*Mathayo 11*
12 Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.
👉🏼 Ukitaka KUMFUATA YESU lazima Ujikane, siyo Jambo jepesi Kunavipingamizi vingi
👉🏼 SHETANI anaupingamizi mkubwa sana:-
- Kumbuka kuna-maadui wakina *Kiburi cha Uzima*, Wakina Usingizi, Wakina Uchovu, Wakina Magonjwa, Wakina Stress, Wakina Ubusy na wengine wengi.
👉🏼 Nikupongeze wewe uliyeshinda hayo yote na Bado unasonga mbele Unasoma Neno,Unafanya maombi,kanisani hupo na kazi unafanya BWANA akutangulie.
*KazaMwendoUmalizeSafariSalama*
📚ES MEJA.
+255757215614.

No comments:

Post a Comment